Yaya (feat. Diamond Platnumz & Jux)

, &
Wo loloo chuii Wee zombie haujui S2kizzy baby Bad man Simba la masimba dangote Najua nina madeni na matatizo ya kodi Ila pesa ya pombe na shisha sikosi Najua nina vipengele watu wanapiga hodi Ila kuhonga mademu wazuri sichoki Eeeh kama umemchoka tuachie sisi(Nasemaje) Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi(wewee) Kama umemchoka tuachie sisi(Athuman) Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi Sawa nimeachika ila naburudika Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika Nimeachika naburudika Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika(wewe) I'm a disco dancer(Athumanii) I'm a disco dancer I'm a disco dancer I'm a disco dancer Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Wee zombie jaza tena zikiisha Mwaga tano tano zidisha Babe ikijipitisha(pitisha) Usiku mboga namchumisha(chumisha) Eeeh wanajiita wandim Wakati babe zao tunazila chini chini Eeeh mabisho bring bring Kazi kulamba lips kitandani nawaging Ladies simba want a thing got thing Waambie sie mbwa kala paka Ujifunze zungumza kwa mipaka Demu wacha kufosi kashadata Shobo zake mwenyewe kashanasa(weweee) Kama umemchoka tuachie sisi(Nasemaje) Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi(wewee) Kama umemchoka tuachie sisi(Athuman) Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi Sawa nimeachika ila naburudika Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika Nimeachika naburudika Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika(wewe) I'm a disco dancer(Athumanii) I'm a disco dancer I'm a disco dancer I'm a disco dancer Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Badman Wahuni ndani wananyonga wida Ukitaka puff puff njoo barida Ashura Amina njoo Farida Waambie bwana zenu hatutaki shida Kama umemchoka tuachie sisi(Nasemaje) Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi(wewee) Kama umemchoka tuachie sisi(Athuman) Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi Show me what you got Chinkichi chinkichi chinkichi(unachezaje) Chinkichi chinkichi chinkichi(show me what you got) Chinkichi chinkichi chinkichi(unachezaje) Sawa nimeachika ila naburudika Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika Nimeachika naburudika Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika(wewe) I'm a disco dancer(Athumanii) I'm a disco dancer I'm a disco dancer I'm a disco dancer Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya Yaya yaya yaya yaya