Ramadhan (feat. Mbosso & Ricardo Momo)

, &
Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Faraja, faraja mwezi umefika tena Tulomngoja kaja tuzichume neema Molah, nijalie na mi hisani (Amiin) Na sadaka nizijali (Amiini) Nipe rizki za halali (Amiin) Karima Niwezeshe pia futari (Amiin) Kwa wenzangu wasio na hali Oh yarabi tafadhali (Amiin) Karima Oh mi mwanadam sijakamilika na madhaifu Na pia unafahamu Tunaishi kwenye dunia ya majaribu Allah Nilindie imani Molah, imani Molah Imani funga yangu iwe salama Nilindie imani Molah, imani Molah Imani funga yangu iwe salama (Ramadhan) Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yah-a-a-a-ah Ya-a-a-a-ah, a-a-a-a-a-ah Yah-a-a-a-ah Ya-a-a-a-ah, a-a-a-a-a-ah Alhamdulillah, Alhamdulillah Umenipa pumzi, nimeuona tenaa Wallah furaha, wallah furaha Nipo tayari mvuvi kuvua neema Yarabi nafsi yangu, roho yangu ijaze imani Nirindie funga yangu ibada yangu na mingi mitihani Mwezi ulo mwema uja kwetu waumini Funga ni imara afya kwetu mwilini Ni vyema kutolala kumi la mwisho Kesha msikitini Tupate na maghfira kwa Mola manani Nilindie imani Mola, imani Mola Imanii funga yangu iwe salama Nilindie imani Mola, imani Mola Imani funga yangu iwe salama Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Yeah Ramadhan Enyi waja wenzangu tulojidhurumu nafsi zetu Tusikate tamaa na rehma za mwenyezi Mungu Hakika mwenyezi mungu usamehe dhambi zote Yeye ni mwenye kusamehe na mwenye kurehemu Aswahumu lii, funga ni yake yeye Waanaajizib Na yeye ndie anae lipa