Overdose

S2kizzy baby Pendo ni vuruga linii kwangu Limekua karaha (limekua karaha) Nacheka nje ila ndani Moyoni nina majeraha (majeraha) Mmmhmm Skuizi hata wanipe kesii kawa mpambe mashine Yamepungua mapeenzi Sijui kampata mwingineee Overdose, overdose Yashani' overdose (overdose) Overdose, overdose Yameni' overdose (overdose) Ooh, ooh, ooh Ooh, ooh, ooh Kitu kidogo lazima tugombanee Simu zinaomba tuondokeane Nnajitahidi kujishusha tusikwazanee Kosa si kosa ataka tuachanee (mmh) Ndo maana unanionaa mtu wa mnyonge na sononaa Ilaaa nnajitahidi molaaa Upendo balaa hata kusoma (mmhmm) Ooh, skuizi hata haniogeshi Nnajiogesha mwenyewe Vya utani hataa hacheki Nnajichekesha mwenyewe Overdose, overdose Yashani' overdose (overdose) Overdose, overdose Yameni' overdose (overdose) Ooh, ooh, ooh Ooh, ooh, ooh