Let Me (feat. Sauti Sol)

&
(Yogo on the....) Aah eeh umependeza sana Wazidi kuniteka mzuri zaidi ya jana Hata ungekuwa na kasoro tungefanana Nimekupata wewe mapenzi ya rabana Wala si utani nikipanga plan huendani Shida ya shetani ya watume tuwaita furani Hao punguani hawajui tu kiundani Basi nikupe imani mbaya mie wako maishani Mama yeah yeah, pasha Bado movie ilo kasha Nizalie na mapacha Naomba usahau bubwaja Let me say, chaguo langu ni-we wewe Let me pray, nitakufa na wewe nitadedi na wewe Niko tayari me oh, me oh, ooooh Niko tayari me oh, me oh, eeeh Niko tayari me oh, me oh, eeh Niko tayari me oh Niko tayari me oh, me oh, me ooooh Oyoyoyo.... Ya Mungu ni mengi Sikudhani nitapata penzi nimependa wengi Nilikuwa uwanjani lakini nimevua jezi Nikang'oa nanga kwenda Bongo nikafika Mbenzi Nikuonyeshe Aliye na macho haambiwi tazama Yaani toto kaumbika kukukosa itakuwa lawama Eh na palipo na nia pia pana njia We ndo wangu malkia tena taji nishakuvisha Ale mama yooo yooo (Washa) Na mahaba yote (Washa) Ni zawadi nimepata Roho imelia mbwata Aya yooo yooo (Washa) Na mahaba yote (Washa) Ni zawadi nimepata Roho imelia mbwata Let me say, chaguo langu ni-we wewe Let me pray, nitakufa na wewe nitadedi na wewe Niko tayari me oh, me oh, ooooh Niko tayari me oh, me oh, eeeh Niko tayari me oh, me oh, eeh Niko tayari me oh Niko tayari me oh, me oh, me ooooh