Enjoy (feat. Diamond Platnumz)

&
S2kizzy baby Hii leo Acha tu niwaweke wazi Mubaki na mishangao Kuhusu haya mapenzi Nataka kuvaeleza Na leo Tena wahiteni paparazi Warushe kwa mitandao Siyataki mapenzi Nataka jipongeza Unaemwita your baby Kumbe nae ana baby Ooh unaemwona kipenzi Ni mshenzi hakupendi Ama kweli mtihani Mambo mengi duniani Na mi stress siwezi Ooooh siwezi Aahh Bora ni Enjoy (Mmmmmh) Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Bora ni enjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini) Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo) Kama kupendaaa Bora nimpende mama yangu (Mmmh) Kama kupendwaa mimii Nitajipenda peke yangu (Ooooh) Kilichoniponza ufalaaa Kujiona simba kumbe swalaaa Kazama kwenye penzi uchwalaaa Badala ya kusaka miamalaaa Ail yoooo oh Toka ni date pesa (Enhee) Sa napendeza (Enhee) Na tena naenjoy (Enhee) Na wanangu ma homeboy (Enhee) Ooooh account inasoma (Enhee) Na kamwili kananona (Enhee) We mwenyewe si unaona yani (Enhee) Ai nasema boraaaa Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi) Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) Yanini niteseke roho (Yanini niteseke rohoo) Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah) Bora ni Enioy (Kwiri pi pi pi pi pi pi) Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) Yanini niteseke roho (Aaahh iveeeeiii ve) Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah) Napenda nikilewa Nipande juu va meza Minjonjo Huku natema kingereza Tupande juu ya meza Tupande juu ya meza Tupande juu ya meza Za za za za za Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi) Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini) Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo) Kamix Lizer

More from Jux