Chitaki

Diamond Platnumz Chitaki lyrics,

(It’s S2kizzy beiby)
We ndo kitumbua
We ndio sambusa
Basi njoo unichumu baby
Ndo tuseme umesusa

We ndo mwisho wa reli
Kwako nimeweka nukta
Walokuambia nala Zuchu
Sio kweli wanazusha

Wanaokaa vikao sisi kutujudge
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko Ten GB penzi full charge

Fanya wainamaaa, wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yaani wainamaaa, wainuka
Kiguu kinyanyue kisha eka nukta

Mi kuachana na wewe
Aku, chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi

Kuachana na wewe
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi

Mchana nikupe tango usiku ndizi swadakta
Tuanze fanya mambo, kabla umeme hawajakata
Mapenzi mwenzie kiwango na umejaaliwa talanta
Na unanijua kwa jambo hatoki mtu kwa mkapa
Ee aah!

Amuli chichichi, Amuli chachachacha
Kamoyo tititi nimeozaje sasa
Amuli chichichi, Amuli chachachacha
Kamoyo tititi nakuachaje sasa

Wanaokaa vikao sisi kutujudge
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko Ten GB penzi full charge

Fanya wainamaaa, wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yaani wainamaaa, wainuka
Kiguu kinyanyue kisha eka nukta

Mi kuachana na wewe
Aku, chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi

Kuachana na wewe
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi