Hey, yeah eh-eh, mm
Hey, yeah, eh-eh
Muda mwingine utanikuta na mawazo
Kwasababu naku-miss
Muda mwingine chozi lanidondoka mimi
Kwa pendo langu la dhati
Muda mwingine nahofu
Kwa vile unavyonipa ukimpa mwingine
Muda mwingine shahuku
Kwa vile unavyon'jali ukimjali mwingine, baby
Nikilia nabembelezwa kwa upendo
Naye akinuna namliwaza kwa vitendo
Je, wewe ushawahi kubembelezwa?
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa, nadekezwa
Aah, nabembelezwa, ohh, nabembelezwa
Mapenzi si mchezo naamini
Wapendanao huwa pacha
Vitendo na mawazo maishani
Huwezi kutofautisha
Fitina si kigezo
Sa' ndo' nini? ehe!
Ishakuwa gumzo mtaani
Watu wanatengeneza picha
Nikilia nabembelezwa kwa upendo
Nae akinuna namliwaza kwa vitendo
Je, wewe ushawahi kubembelezwa?
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa, nadekezwa
Aah, nabembelezwa (eh), ohh, nabembelezwa (eh)
Simuoni mwingine duniani
Wa penzi la kweli kama yeye
Sijawa punguani akilini
Niliemchagua ni yeye
Najua mtasema sema
Na mwisho wake mtulie (eeh)
Mengi mtachonga sana
Ila nitabaki na yeye, aah
Ma-mama, ma-mama, mamaa
Mama, ma-mama (eeh!)
Comment