Girl you know ooh
Umechukua my mind my body and my soul
Uuuh
Wewe ndo kipenda rohooo
Uzuri Ulionaoo unawaka waka ooh rii
Tunavyo match match uuh
Mungu azidi tu bless
Wanapigwa baridi mwepesi
Wetu shahidi mwenyezi
We ndo wangu drevaa
Kokote nitaendaa
Usafiri nyongeza
Me and you
Nitakupenda mpaka kufa
Mahaba kutwa kuchaa
Wachawi wataisoma namba
Forever me and you
La lala lalala la lalala la lalala
Oooh la lalala la lalala la lalalaa
Oooh la lalala la lalala la lalalaa
Sweet love
Sweet Love unanichanganya You You
Sinyoorita Kila Mara Unanipa Mood
Unanikosha Roho Baby
Shikamo
Shikamo
Wanipa Raha Zangu
Baby Give me More
Give more
Mwili wote ni Mwepeee
Raha Juu Tunapeana
Ahadi yangu ya Pekee
Mimi nawe Tutaoana
We ndio wangu derevaa
Kokote nitaendaa
Tusafiri together
Me and You
Nitakupenda mpaka Kufa
Mahaba kutwa kuchaa
Wachawi wataisoma number
Forever me and you
La lala lalala la lalala la lalala
Oooh la lalala la lalala la lalalaa
Oooh la lalala la lalala la lalalaa
Ah oh go shawty
My woman
Unavyokatika you turn me on
Go shawty
My woman
Unavyokatika you turn me on
Unanikosha roho baby Shikamoo
Shikamoo
Wanipa Raha zangu baby give more
Give me more
La lala lalala la lalala la lalala
Oooh la lalala la lalala la lalalaa
Oooh la lalala la lalala la lalalaa
La La La (feat. K2ga, AbduKiba, Vanillah & Tommy Flavour)
Alikiba, K2ga, Abdukiba, Vanillah & Tommy FlavourAfrobeats2023
Comment