Asali

Kama kulia nitalia na yeye Kucheka nitacheka na yeye Kuimba nitaimba na yeye Ni fuhara Kuteseka nitateswa na yeye Aaahh akisababisha yeye Stress akinipa yeye ni sawa Hata dunia aah iumbwe upya Mimi nitakupenda mpaka mwisho Hata dunia aah iumbwe upya Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho Hata uende mbali ooh Mbali asali yangu mi hodari Hodari hodari Hata uende mbali ooh Mbali asali Asali yoo wangu Hodari oooh Tarara tata raa Tarara talanta tarara Ta raa tarara tataraa Tarara tata raaa Talanta tata talanta Tarara tata raa Tarara talanta taraaah You are my enjoy pretty pie Raha tu unazonipa we umesababisha mi kichaaa Kama ni dawa niambie tu Maana mi presha juu yako tu Ni wewe tuu, ni wewe tuu Hata dunia aah iumbwe upya Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho Hata dunia aah iumbwe upya Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho Hata uende mbali ooh Mbali asali yangu mi hodari Hodari hodari Hata uende mbali ooh Mbali asali Asali yoo wangu Hodari oooh Tarara tata raa Tarara talanta tarara Ta raa tarara tataraa Tarara tata raaa Talanta tata talanta Tarara tata raa Tarara talanta taraaah Amore mon chéri Khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah, kahbulah Amore mon chéri (mon chéri) Khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah